Tuesday, August 21, 2012
WAZIRI MKUU ETHIOPIA AFARIKI
Friday, August 10, 2012
RADIO 5 YASHINDA NANE NANE KASKAZINI
Katika maonesho ya wakulima yaliyofikia kilele tarehe nane mwezi wa nane zilishiriki taasisi nyingi...lakini radio 5 iliibuka mshindi kwa taasisi zote za binafsi na serikali zilizoshiriki....Pichani wafanyakazi wakiwa na kombe mara baada ya kutangazwa washindi na waziri mkuu Mh.Mizengo Pinda.
Mara baada ya kutangazwa washindi...Pichani ni David Rwenyagira akiwa habarisha Live wanannchi juu ya kilichokuwa kinaendelea huko themi.
Charles Mayomi akiweka mitambo sawa wakati wa shuhuli za ufunguzi wa sherehe hizo.
Mara baada ya kutangazwa washindi...Pichani ni David Rwenyagira akiwa habarisha Live wanannchi juu ya kilichokuwa kinaendelea huko themi.
Wafanyakazi wa radio 5wakiwa na kombe la ushindi kutoka kushoto ni Deo G,Tonnie Kaisoi,Pili Sirikwa ,Sarah Lazaro,Semio Sonyo,Ashura Mohamed,Charles Mayomi na David Rwenyagira
Semio Sonyo akitangaza wakati wa maonesho hayo.
Subscribe to:
Posts (Atom)