Meneja masoko wa Radio 5 Sarah Lazaro(katikati) akiwa na Deo mwanambilimbi na Bob rudala
Huyu ndiye Deo Mwanambilimbi mwenye jezi ya Tanzania akiwa na Meneja masoko wa Radio 5.
Sarah Lazaro akiwa na Bob Rudala aliyewahi kutamba na sjingo ya nimekuchagua wewe.
David Rwenyagira akiwa na Bob rudala na Deo mwanambilimbi.
Program Manager Philip Magese akiwa na Bob rudala na Deo mwanambilimbi.
Clara Moita akiwa na Deo Mwanambilimbi na Bob Rudala.
No comments:
Post a Comment