Hapa ni siku mbili kabla ya shindano ambapo washiriki wote walikuwa katika studio za radio 5 wakijifunza mabo mbali mbali.....
SIKU YA SHOW
Hawa ni baadhi ya washiriki wa shindano la Radio 5 Presenter search wakijifua kabla ya kuanza kwa mchujo wa awali.....
Maandalizi yalikuwa yakiendelea kwa washiriki waliokuwa wakielekezwa namna ya kutumia studio ndogo na mzee wa mwongozo...Willy Cosmas...Huku Goodluck Kisanga na Dj King Davy wakiongoza maandalizi ya burudani.
Jimmy Mtemi meneja wa Radio 5 akizungumza na wageni wakati wa ufunguzi
Huyu ni Dj King akifanya mambo kidigitali zaidi
Mama Afrika kulia..Mzee Estomih Malla(chief Judge) na Ones Mo,...ndio waliokuwa wakiongoza panel ya majaji.
Upande mwingine kulikuwa na Erick Lupiana sambamba na meneja wa Tripple A Bori.
Mwangaza jummanne na Tonie Kaisoi, Semio Sonyo wakiwa na mgeni wao Mr C kutoka Mj Fm....
Hawa ni baadhi ya washiriki wakiwa makini kufuatilia shindano...
Burudani ilikuwa sehemu ya shindano na hapa jamaa anajulikana kama Shuba Akishambulia Jukwaa.